
Bayern walitangulia kufunga katika Dakika ya 10 kwa Bao la Robert Lewandowski na Schalke kusawazisha Dakika ya 62 kwa Bao la Benedikt Howedes.
Jana Ijumaa Borussia Dortmund, ikicheza Ugenini, iliichapa FC Augsburg Bao 3-2.
Bao za Dortmund zilifungwa na BV Borussia Dortmund Marco Reus, Sokratis Papastathopoulos na Adrian Ramos wakati Bao za Augsburg zilifungwa na Raul Marcelo Bobadilla na Tim Matavz.