kutoka kwenye stage ya Serengeti Fiesta 2014 Moshi...
Lilikuwa bonge la shwangwe kiukweli nashindwa nianzie wapi kukusimulia
ila nachoweza kusema ule uwanja wa Majengo ulitimka vumbi ile mbayaaa,
Moshi kama walitisha vya kutosha , sema nini kuna vumbi sana hahahaha!
hizi hapa picha 12 kwaajili yako...
| Ally Kiba... |
| Rachel... |
![]() |
| Rachel |
| Fid Q... |
![]() |
| Feza Kessy... |
| Shaa akiwa na Team yake kwenye stage ya serengeti fiesta 2014... |
| Producer Lamae akisababisha zile Refix kwenye 1 an 2 |
| Roma... |
| Mapacha... |
| Dully Sykes... |
| Dully Sykes... |


