CARL FRAMPTON AMPIGA KIKO MARTINEZ NA KUTWAA TAJI LA DUNIA


Down he goes: Martinez was dropped in the fifth round but recovered to take the fight to the final bell

Martinez alidondoshwa chini raundi ya tano, lakini akasimama imara na kumalizia vizuri pambano
And the new: Frampton is announced as the new world champion after dethroning Martinez in Belfast
Bingwa mpya: Frampton akiwa amevishwa taji lake la dunia baada ya kumshinda Martinez nyumbani mjini Belfast