LEWIS HAMILTON aendelea kutamba mbio za magari


LEWIS HAMILTON
 
LEWIS HAMILTON ameendelea kutamba katika mbio za magari za FOMULA ONE baada ya kuibuka kidedea katika mashindano ya SINGAPORE GRAND PRIX 

Bingwa mtetezi wa mashindano hayo,Sebastian Vettel imeshika nafasi ya pili na nafasi ya tatu ikanyakuliwa na Daniel Ricciardo, Fernando Alonso ameshika nafasi ya nne na Felipe Massa akimaliza katika nafasi ya tano. 

kwa ushindi huo Lewis Hamilton inaongoza madereva wezake katika msimamo wa jumla akiwa amejikusanyia ALAMA 241,Nico Rosberg yupo katika nafasi ya pili akiwa na ALAMA 238,Daniel
 Ricciardo inashika nafasi ya tatu akiwa na ALAMA 181,Fernando Alonso yupo katika nafasi ya nne na ALAMA 133 na Sebastian Vettel anashika nafasi ya TANO akiwa na ALAMA 124.