MAJANGA;I NTERMILAN YASHINDA GOLI 7..............0

INTER-MILAN










Mauro Icardi ameipigia Inter Milan Hetitriki wakati inaichabanga Sassuolo Bao 7-0 ndani ya San Siro katika Mechi ya Ligi Serie A jana.


Inter Milan na Sassuolo zilikwesa Sare katika Mechi zao za kwanza za Ligi Msimu huu lakini hii ya Leo ilionekana mapema mshindi ni Inter hasa baada ya Sassuolo kubaki Mtu 10 baada ya Kadi Nyekundu kwa Mchezaji wao Dominico Berardi katika Dakika ya 60.

Bao nyingine za Inter zilifungwa na Mateo Kovacic, Dani Osvaldo, Bao 2, na Freddy Guarin.

Katika Mechi nyingine hii Leo, Napoli wakicheza Nyumbani walipigwa Bao 1-0 na Chievo Verona ambao walifunga Bao lao Dakika ya 49 kupitia Lopez.

Baadae Usiku huu, Parma itakuwa Wenyeji wa AC Roma.