Waziri wa MAji Profesa JUMANNE MAGHEMBE
Waziri wa Maji Profesa JUMANNE MAGHEMBE amewakijuzi.blogspot.comtaka Wataalam wanaofanya Usanifu kwa ajili ya Ujenzi wa Bwawa la Maji la FARKWA mkoani Dodoma liwabadilishie Mfumo wa Maisha ya wananchi wanaoishi wilaya ya Bahi na maeneo jirani.
Profesa MAGHEMBE amesema hayo wakati akifungua Kikao cha Wadau kinachofanya tathmini ya athari za Mazingira na Jamii kwa ajili ya mradi wa bwawa la FARKWA unaokusudiwa kuupatia mji mkuu Dodoma na makao makuu ya wilaya za Bahi na Chemba,
Kuhusu uharibifu wa Miundombinu ya Reli maeneo ya Godegode, Gulwe na Kilosa inayosababishwa na Mafuriko wakati wa Masika, Profesa MAGHEMBE anaona kuwa Ujenzi wa bwawa hilo litakuwa msaada kwa Wakazi na njia hiyo
Licha ya umuhimu wa Mradi huo, Wadau wameshuku kuwa baadhi yao wamekuwa wakiupiga vita jambo ambalo waziri Maghembe ameonya kuachwa mara moja