Mpango wa kupambana na majangili wanaoua vifaru nchini AFRIKA KUSINI umesaidia wananchi wanaoishi karibu na hifadhi mbalimbali za taifa hasa vijana kupata ajira na kuacha kuwasaidia majangili.
Serikali ya AFRIKA KUSINI hivi sasa imeanzisha utaratibu wa kuwa na mabalozi wa kupambana na majangili wa faru na kuwapatia elimu mabalozi hao kuhusu umuhimu wa mazingira na viumbe vyake kwa taifa.
Baadhi ya vijana nchini humo wanakiri kuwa, umaskini ulikuwa ukiwafanya kujiingiza katika vitendo vya uharibifu wa mazingira na wakati mwingine kuwasaidia majangiri, ambao hawajui vizuri mazingira ya msituni.