RAPA kutoka nchini MAREKANI CLIFFORD JOSEPH HARRIS JUNIOR maarufu kwa jina la T.I
WAANDAAJI wa tamasha la muziki nchini, Fiesta 2014 wamemtkijuzi.blogspot.comaja RAPA kutoka nchini MAREKANI CLIFFORD JOSEPH HARRIS JUNIOR maarufu kwa jina la T.I kama msanii anaetarajiwa kutumbuiza kwenye Show ya FIESTA itakayofanyika DSM katika viwanja vya LEADERS , OCTOBER 18.
T.I atatumbuiza katika jukwaa moja na wasanii wa hapa nchini wa muziki wa BONGO FLAVA walioshiriki tangu mwanzo wa msimu huu wa SERENGETI FIESTA 2014 .
T.I atatumbuiza katika jukwaa moja na wasanii wa hapa nchini wa muziki wa BONGO FLAVA walioshiriki tangu mwanzo wa msimu huu wa SERENGETI FIESTA 2014 .