YA MOTO BAND YATO MSAADA TEMEKE HOSIPTALI


WANAMUZIKI chipukizi wanaounda kundi la bendi ya YAMOTO wametoa msaada wa vyakula kwa wodi ya watoto ya hospitali ya TEMEKE. 

Mratibu wa bendi hiyo , SAID FELA pamoja na baadhi ya wasanii wa kundi hilo wamezungumzia nia ya kutoa msaada huo katika hospitali hiyo kuwa ni kurudisha shukurani kwa jamii kwa kuikubali bendi yao na pia kuwafariji wagonjwa ambao ni miongoni mwa washabiki wao. 
kijuzi.blogspot.com
Waimbaji wanaounda kundi la Yamoto Band ni ASLAY, BECKA, BELLA na MAROMBOSO.