
Si muda mrefu sana tangu msanii huyo anaewakilisha Morogoro aachie ngoma mpya "Wanitamani" na kuachia wimbo huu Belle 9 amesema ameamua kuachia wimbo huu kwasababu uko tofauti sana na zingine maana mashabiki wamekuwa wakimwambia kwanini hatoi ngoma kama sumu ya penzi na zingine zilizopita mwanzoni