Chris Brown kwa mara nyingine tena ameingia katika ugomvi na mtandao wa TMZ baada ya kumchenjia mmiliki pamoja na mtandao huo wa TMZ.
TMZ iliripoti story iliyosema Brown alimfanyia fujo mwanamke wakati alipotokea club ya usiku Hustone weekend iliyopita
Kufuatia ripoti hiyo, Brown amepost picha ya mmiliki huyo "Levin" kupitia acc yake ya Insta Gram pamoja na maneno ya kumkashifu yanayosema......
“What the devil looks like in person. Lol. You sad little man,” amemwambia Levin. “You’ve been trying for years to destroy me. It won’t work. Your efforts are flattering. When you look back on your life when it’s that time for you to depart, what can u actually say you’ve accomplished in life? Bringing people down and being the number one source for negativity. Life’s too short homie. Find some sort of happiness. You are a grown ass man. God bless you bruh.” aliandika Brown
TMZ walikuwa wa kwanza kuripoti kuhusu ugomvi wa Chris Brown na Rihanna wakati wa weekend ya Grammy mwaka 2009 na kuendelea kuripoti juu yake kwa nguvu zote. Post hiyo ilifutwa lakini unaweza ukaisoma hapa
C


