RASIMU YA KATIBA MPYA ILYOPENDEKEZWA YAPTISHWA BUNGE MAALUM LA KATIBA

Mwenyekiti wa Bunge maalumu la katiba Samwel Sitta.
Mwenyekiti wa Bunge maalumu la katiba Samwel Sitta.
Wajumbe wa Bunge maalumu la katiba.
Wajumbe wa Bunge maalumu la katiba.

Akitangaza matokeo hayo mwenyekiti wa Bunge maalum la katiba SAMUEL SITTA amesema akidi kutoka bara na zanzibar imetimia na kwamba kura zilizopigwa zimetosha kupitisha rasimu hiyo inayopendekezwa. 

Mapema katibu wa bunge JOHN JOEL alisoma matokeo ya upigaji kura ibara zote za sura ya rasimu ya katiba. 

Bunge hilo linatarajiwa kuvunjwa tarehe 04 mwezi huu kwa mujibu wa sheria.