Wasanii NASIBU ABDUL maarufu kama DIAMOND kwa kushiriana na bendi
ya YAMOTO wanapanda jukwaani kutumbuiza katika SIKU YA MSANII TANZANIA
ambayo itafanyika OCTOBA 25 jijini DSM. DIAMONDS amesema siku hiyo watatoa burundani ya kukata na shoka
nakutawala jukwaa na kuwasihi watu wengi kujitokeza ili waweze kupata
burudani