AY AACHIA SINGLE YAKE NA SEAN KINGSTONE FT MS TRINITI

Ay 1 

Ay ametimiza ahadi yake ya kuiachia ile kolabo yake na Sean Kingston ambayo hivi karibuni ndio ilimpeleka Marekani kwenda kufanya video na mkali huyu wa dunia.

Nyimbo inaitwa Touch me