
.
Video hii kwa mara ya kwanza ilianza kuonyeshwa Nov 19 kupitia kituo cha MTV BASE
Akizungumza na mtangazaji wa Clouds FM Diamond amezungumzia wimbo yake mpya
"Nitampata Wapi" na kudai kwamba utakuwa ni wimbo mkali ulio katika hadhi ya mapenzi
na sio zile nyimbo za kukimbiza kimbiza, yaani akidai kwamba itakuwa
inafanana kama ile ya nenda
Video ya wimbo huu
imefanyikia S.A chini ya director..
God Father pia
amezizungumzia zile barua ambazo wazazi wameandika kwaajili ya watoto
wao na anaanza kuzifanyia kazi hivi karibuni na alipoulizwa kuhusiana na
Wema Sepetu alikuwa anaruka ruka tu na kushindwa kutoa jibu lililo
sahihi
Na Eli ulomi/Djfetty.com