
Kocha
wa Liverpool Brendan Rodgers amesema anapokea lawama zote kufuatia
kipigo cha timu yake ya Liverpool ilichokipata kutoka kwa Cyristal
Palace.
Rodger amesema amekubali kwamba ulikuwa ni wakati mgumu na analazimika kufanya juhudi kubwa ili kutafuta ufumbuzi wa tatizo ndani ya Liverpool.
Amesema wamesikitishwa na kiwango cha timu pamoja na matokeo mabovu na kwamba kama meneja wa ni lazima achukue lawama