OBAMA akubali ombi la kujiuzulu kwa waziri wa ulinzi
HAGEL ambaye ni Seneta wa zamani wa chama cha REPUBLICAN alipewa wadhifa wa waziri wa ulinzi tangu mwaka jana na kwamba ametumikia kwa miaka MIWILI.
HAGEL amejiuzulu kutokana na changamoto katika masuala yanayohusu MAREKANI na nchi za IRAQ na SYRIA. HAGEL amesema atabakia katika nafasi hiyo mpaka OBAMA atakapomchagua mrithi wake