Rais wa MAREKANI BARACK OBAMA
Salam hizo zimewasilishwa kwa rais KIKWETE na Balozi wa Tanzania nchini Marekani LIBERATA MULAMULA akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington D.C. wakati walipomtembelea mjini Baltimore Maryland
Rais KIKWETE yupo nchini humo kwa zaidi ya wiki mbili sasa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa tezi dume katika Hospitali ya JOHNS HOPKINS, ambapo taarifa zinasema kuwa afya yake na anaweza kurejea Tanzania muda wowote kuanzia sasa.