SAMUEL ETOO ALIVYOFUNGA NDOA YAKE ITALY



Star wa mpira wa miguu kutoka Cameroon Samuel Eto’o amefunga ndoa na mama wa watoto wake, Ivorian Tra Lou Georgette katika sherehe ndogo wiki hii siku ya jumatatu November 24.
 
Imeripotiwa kuwa mcheza mpira huo alim-propose  mchumba wake huyo mwezi wa saba na pete ya diamond yenye thamani ya Euro 500,000 licha ya kuwa wawili hao walishaoana kwa ndoa ya kimila tangu 2007 na wamekuwa pamoja kwa miaka 10 sasa.

Sherehe hizo zimefanyika CapiagoIntimiano, katika mji wa malavidavi Como,Italy.