SEREKALI YAZINDUA KIVUKO KIPYA



Waziri wa Ujenzi JOHN MAGUFULI
 
Waziri wa Ujenzi JOHN MAGUFULI amekipokea na kukizindua kivuko kipya kitakachofanya safari zake kati ya DSM na BAGAMOYO nakuwataka wananchi washiriki kukilinda na kuhakikisha hakiaribiki

MAGUFULI amezindua kivuko hicho kilichoigharibu serikali shilingi bilioni 7.9 amesema ni kuvuko chenye kasi kuliko vyote nchini.


Kivuko hicho kitaanza kutumika hivi karibuni baada ya kukamilika kwa ukaguzi wa mwisho na kinaelezwa kuwa kitasaidia kupunguza tatizo la usafiri katika jiji la DSM