UGANDA YAZINDUA GARI ISIYOTUMIA MAFUTA

AmazingNity
Taarifa ikufikie kwamba Afrika Mashariki imeingia kwenye headline ya mapinduzi makubwa ya kiteknolojia kwa kutengeneza gari ya aina tofauti na zile tulizozoea kuzitumia.

Kwanini nayaita mapinduzi makubwa katika industry? Sababu ni kwamba tumezoea kutumia magari yanayotumia mafuta na baadhi yanayotumia gesi, mpya ni kwamba Uganda inatarajia kuzindua gari ya kwanza kutengenezwa nchini humo ambayo inatumia umeme hivi karibuni, ambayo imetengezwa kwa msaada wa Serikali ya Uganda.