WANAMICHEZO WANAOLIPWA ZAIDI DUNIANI

MAYWEATHER

Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney anaingiza pauni milioni 15 kwa mwaka ikiwa ndiyo kipato chake.

Katika hizo, pauni milioni 11.8 zinazokana na mshahara, lakini bado hajaweza kufanikiwa kuingia kwenye 10 Bora ya wanaolipwa vizuri.
Bondia Floyd Mayweather ndiye kinara na wanasoka  pekee wanaoingia kwenye 10 Bora ya kipato kikubwa kwa mwaka ni Cristiano Ronaldo na Lionel Messi tu.
 
WANAMICHEZO WANAOLIPWA ZAIDI - 2014
1) Floyd Mayweather (Ngumi) - £67m
 
2) Cristiano Ronaldo (Soka) - £51.1m
 
3) LeBron James (Kikapu) - £46.2m
 
4) Lionel Messi (Soka) - £41.3m 
 
5) Kobe Bryant (Kikapu) - £39.3m

6) Tiger Woods (Gofu) - £39.1m
 
7) Roger Federer (Tenisi) - £35.9m
 
8) Phil Mickelson (Gofu) - £34m
 
9) Rafael Nadal (Tenisi) - £28.4m
 
10) Matt Ryan (NFL) - £28m 
 
Cristiano Ronaldo
Lionel Messi