WEMA SEPETU NA PENNY WAPATANA NA KUSHEREKEA PAMOJA

Muigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu na mtangazaji Penny Muingila wamemaliza tofauti zao zilizodumu kwa muda sasa (chanzo kikiwa ni mapenzi na Diamond) baada ya kupatanishwa na wanaemuita dada yao "Junaitha Pemba" siku ya jana.

Upatanisho wa wawili hao umefanyika siku ya jana pale ambapo Junaitha alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa katika moja ya hoteli za kifahari jijini.

Penny. Junaitha na Wema Sepetu