Tayo.
INADAIWA kuwa baada ya mshiriki wa Nigeria kwenye shindano la Big
Brother Hotshots, Tayo kuzikosa $ 300,000 za shindano hilo ambazo
zilichukuliwa na mshiriki kutoka Tanzania Idris Sultan, mfanyabiashara
bilionea na Nigeria ameamua kumzawadia Tayo $ 350,000 zaidi ya shilingi
milioni 600.
.
Bilionea huyo aitwaye Ayiri Emami ameamua kuongeza dola 50,000 juu zaidi ya ile ambayo ilitolewa na Biggie ambayo ni $300,000 kutokana na kuwa shabiki mkubwa wa Tayo.