CRISTIANO ATWAA TUZO NYINGINE KUBWA DUNIANI

                                 Christian Ronaldo
 

 Pigo kwa wapinzani wake:
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ureno, CristianoRonaldo ameendelea kujivunia heshima kubwakwenye kwenye soka, kufuaria kupatiwa tuzo nyingine, ambayo ni ufungaji hodari wa mabao duniani.


Tuzo yake ya sasa inatoka Shirikisho la Kimataifala Historia ya Soka na Takwimu (IFFHS) baada yakufunga mabao 69 kwenye mashindano yote kwakabu yake, Real Madrid na timu yake ya taifa,Ureno na kuwa mfungaji bora mwaka 2013.



Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29alipokeatuzo yake hiyom mpya jana, na moja kwa mojaakaenda kutamba nayo kwenye akaunti yake ya Instagram.
 

Cristiano Ronaldo ameposti picha hii Instagramakiwa na tuzo yake mpya baada ya kuibukamfungaji bora mwaka 2013Ronaldo ameposti picha hiyo pamoja na maelezo
yasemayo; "Nasikia heshima kushinda tuzo yaufungaji bora wa dunia mwaka 2013 kutikaShirikisho la Kimataifa ya Historia ya Soka naTakwimu . Asanteni wote,".