Mbunifu MANJU MSITA kuwakilisha Fashion week
Mratibu wa mbunifu huyo, MATUKIO CHUMA pamoja na mbunifu wa TANZANIA anayefanya shughuli zake nchini BARCELONA, VIVIAN WILLIAMS wametaka fani ya ubunifu itumike kama ajira na isibezwe na wazazi na badala yake waiunge mkono.
Katika maonyesho hayo MANJU pamoja na mtanzania mwingine anayefanyia shughuli zake nchini AFRIKA KUSINI, ANISA MPUNGWE wataipeperusha bendera ya TANZANIA katika maonyesho