Baadhi ya Wabunge waliounga mkono
wanaamini kwamba mabadiliko hayo yatadhibiti vitendo vya kigaidi wakati
wale wanaoipinga wanasema Sheria hiyo itaathiri Uhuru wa Wakenya.
Sheria hiyo imewasilishwa leo ndani ya Kikao cha Bunge na kuanza kujadiliwa.
Hali ya Usalama wa Kenya imekumbwa na changamoto mbalimbali baada ya kufululiza kwa matukio ya mashambulizi ya kigaidi.