PICCHA ZA MSHINDI WA BBA IDRIS AKIWA NA JOH MAKINI NDANI YA XXL

Mshindi wa shindano la Big Brother Africa''BBA'',Idriss Sultan akisalimia na mtangazaji wa kipindi cha xxl cha Clouds Fm,B Dozen wakati akizungumzia
ushindi wake.

Idriss akiwa na msanii John Makini.