Leo
ni siku ya 63 tangu yaanze mashindano ya Big Brother Africa, ndiyo siku
ambayo imefanyika fainali ya #BBAHotshots kwa mwaka huu 2014.
Labda nikukumbushe kwamba Tanzania ndiyo nchi pekee iliyokuwa
imebakiwa na mshiriki wake ndani ya Jumba la BBA katika ukanda wa Afrika
Mashariki na tuliona namna ambavyo mastaa wengi wakitoa support kubwa
kwa mshiriki huyo ambaye ni Idris.
Hatimaye usiku huu wa Desemba 07 historia nyingine imeandikwa Afrika, ambapo mwakilishi huyo kafanikiwa kuibuka mshindi.
Nimepita katika kurasa za mastaa mbalimbali Twitter, hiki ndicho kilichoandikwa na mastaa hao;