Barcelona wamefunga bao zake kupitia kwa Lionel Messi dakika ya 19 kisha Neymar kufunga bao la pili dakika ya 41. Luis Suárez alimaliza bao la tatu dakika ya 77 na mtanange kumalizika kwa 3 - 1. |
Neymar akishanglia bao lake la pili kwa timu yake dakika ya 41 |