UEFA CHAMPIONS LEAGUE: AS ROMA 0 vs 2 MANCHESTER CITY, SAMIR NASRI na ZABALETA WAIPA USHINDI CITY!

Samir Nasri akishangilia bao lake la kwanza dakika ya 60 kipindi cha kwanza baada ya kumaliza kipindi cha kwanza bila bao.

Dakika ya 60 Samir Nasri aliachia shuti kali lililogonga posti na kuzama ndani ya nyavu na kuipa bao City 1-0 dhidi ya As Roma kwenye Uwanja wao Stadio Olimpico, Roma Mwamuzi akiwa ni M. Mažić baada ya kupata pasi kutoka kwa Gael Clichy. Bao hilo lilifanya As Roma sasa waweze kutafuta bao mbili tena. 

Bao la pili la Man City lilifungwa dakika za majeruhi dakika ya 86 na Pablo Zabaleta baada ya kupewa pasi na Samir Nasri.

Dzekp akijaribu kuwatoka mabeki wa Roma