Branislav
Ivanovic aliipachia bao dakika ya 94 Chelsea na kufanya 1-0(Agg1-2)
dhidi ya Liverpool baada ya kuunganisha mpira wa kichwa wa adhabu wa
frii kiki uliopigwa na Willian.
Kipindi cha pili nacho kilimalizika 0-0 na kuongezwa dakika 30 za nyongeza.
Diego Costa alimkanyaga mchezaji wa Liverpool na hapa kidogo kutokee matatizo..Kipindi cha kwanza kilimalizika 0-0 richa ya timu zote mbili kukamina.
VIKOSI:Chelsea Wanaoanza: Courtois, Ivanovic, Zouma, Terry, Filipe Luis, Matic, Fabregas, Willian, Oscar, Hazard, Diego Costa
AKIBA: Cech, Azpilicueta, Cahill, Ake, Ramires, Remy and Drogba
Liverpool Wanaoanza: Mignolet, Can, Skrtel, Sakho, Lucas, Henderson, Moreno, Markovic, Gerrard, Coutinho, Sterling
AKIBA: Ward, Johnson, Lovren, Lambert, Lallana, Allen, Balotelli
USO KWA USO: MECHI 6 ZA MWISHOJanuary 2015: Liverpool 1-1 Chelsea
November 2014 : Liverpool 1-2 Chelsea (Premier League)
April 2014 : Liverpool 0-2 Chelsea (Premier League)
December 2013 : Chelsea 2-1 Liverpool (Premier League)
April 2013 : Liverpool 2-2 Chelsea (Premier League)

Chelsea vs Liverpool
Steven Gerrard akipasha kwenye Uwanja wa Stamford Bridge wakati wa mtanange wao Liverpool wa Marudiano.
Mario Balotelli
