LIONEL
MESSI ameipa Barcelona ushindi wa Bao 1-0 Jana Usiku Uwanjani Nou Camp
walipocheza na Atletico Madrid katika Mechi ya kwanza ya Robo Fainali ya
Kombe la Mfalme wa Spain, Copa del Rey.Bao hilo lilifungwa Dakika ya 85 baada ya Messi kupiga Penati ambayo Kipa Jan Oblak aliikoa na Mpira kumrudia Messi aliefunga.
Timu hizi zitarudiana tena Jumatano Januari 28 huko Vicente Calderon.
VIKOSI:
Barcelona: Ter Stegen; Alves, Mascherano, Piqué, Alba; Busquets, Rakitic, Iniesta; Suárez, Messi, Neymar
Akiba: Masip, Bartra, Adriano, Xavi, Sergi Roberto, Rafinha, Pedro.
Atlético: Oblak; Juanfran, Miranda, GodÃn, Siqueira; Mario Suárez, Gabi, Koke, Arda; Griezmann, Torres
Akiba: Moyà , Giménez, Gámez, ÑÃguez, GarcÃa, Mandžukić, Jiménez.
REFA: José Luis González González
