KARRRUECHE AONEKANA KWENYE VIDEO YA WIMBO MPYA WA CHRIS BROWN

Hii ni mara ya kwanza kwa mwana dada huyo Karrueche kuonekana katika video ya Chris Brown,mara baada ya kuwa na misuko suko katika mahusiano yao Chris amemuweka mwana dada huyo kucheza kama video queen.
. 
Video inaitwa Autumn Leaves akiwa ameshirikishwa Kendrick lamar.Video imeachiwa jana tarehe 22 january 2015

Kwenye wimbo huu wa Autumn Leaves unapatikana katika album yake ya X akiwa amemshirikisha Kendrick lamar  lakini hajaonekana kwenye video hiyo



 

Rasmi imeaachiwa jana katika tv stations
Whatch