Serikali ya Kenya imeanzisha mpango
kabambe wa kutoa huduma za kuokoa kwa kutumia ndege na magari kwa
watumishi wa umma nchini humo.
Huduma
hiyo imezinduliwa kwa ushirikiano na shirika la bima ya afya,shirika la
msalaba mwekundu na kundi lamadaktari wanaosafiri kwa ndege la AMREF.
Huduma
hiyo imezinduliwa kwa ushirikiano na shirika la bima ya afya,shirika la
msalaba mwekundu na kundi lamadaktari wanaosafiri kwa ndege la AMREF. Kenya inakuwa nchi ya pili baada ya Afrika Kusini kutoa huduma ya aina hii.
Kenya inakuwa nchi ya pili baada ya Afrika Kusini kutoa huduma ya aina hii. Victor Kenani alkuwepo kwenye uzinduzi wa mpango huo ambapo Rais Uhuru Kenyatta alihudhuria