Kwenye interview na kipindi cha Break Fast Club Safaree alisema ” Niliwahi kumsaidia Nicki Minaj kuandika nyimbo mara kwa mara ” kitu ambacho kilinakiliwa tofauti na mashabiki.
Kupitia twitter Safaree amesema “Kama kuna mitu kilisikika kwenye
interview ambacho kimafanya watu wafikirie nilimuandikia nyimbo zote
Nicki, naomba radhi , ila mju Nicki ni miongoni mwa vitu muhimu
vilivyotokea kwenye maisha yangu ” .
“Nicki anauwezo mkubwa wa kuandika album yake yote mwenyewe bila msaada
wangu, na ikija kwenye issue ya kuandika mashairi makali, namkubali na
yeye ni namba moja ” .