
Mashukiwa aliyedaiwa kupanga mashambulizi ya kigaidi nchini kenya na tanzania aaga dunia
Mmoja
wa watu waliopanga mashambuliz ya kigaidi kwenye balozi za marekani
nchini Kenya na Tanzania mwaka 1998 ameaga dunia kabla ya kufikishwa
kizimbani mjini New York.
Bwana al-Liby alikamatwa na vikosi maalum vya marekani nchini libya mwaka 2013.
Alilalamika kuwa alikuwa ametekwa na kudhalilishwa
Amekana kuhusika kwenye mashambulizi ya Nairobi na Dar-es- salam ambapo zaid ya watu 220,000 waliuawa.