New Video: Mwana FA Ft Ali Kiba – Kiboko Yangu

 Mwana FA ameachia video ya wimbo wake ‘Kiboko Yangu’ aliyomshirikisha Alikiba. Video imeongozwa na Kevin Bosco Jr kutoka Kenya.