NUSU FAINALI CAPITAL ONE: STERLING AWAOKOA LIVERPOOL


24E250FD00000578-2918853-image-a-60_1421788105483
Mwokozi Sterling akishangilia goli lake
RAHEEM Sterling mtu mbaya sana!. Usiku huu ameharibu mipango ya Jose Mourinho ya kuibuka na ushindi katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya kombe la ligi ‘Capital One’ kufuatia kuisawazishia Liverpool bao.
 
Chelsea waliandika bao la kwanza dakika ya 18′ kwa mkwaju wa penalti kupitia kwa Eden Hazard, lakini dakika ya 59′ Sterling akasawazisha goli hilo.
Eden Hazard comfortably stroked home a penalty in the 18th minute to give Chelsea the lead against Liverpool on Tuesday night
Eden Hazard akipiga mkwaju wa penalti
 
HAPA CHINI NI VIKOSI VYA TIMU ZOTE NA ALAMA WALIZOPATA KATI YA 10 ZILIZOPANGWA KIVIWANGO;
Kikosi cha Liverpool: Mingolet 6.5; Can 6, Skrtel 7, Sakho 7; Henderson 7, Gerrard 8.5 (Lallana 70), Lucas 7, Moreno 7; Markovic 6.5, Sterling 7, Coutinho 7.5 
Subs not used: Ward, Enrique, Lambert, Manquillo, Borini, Rossiter
Goli: Sterling 59 
Kadi ya njano: Gerrard, Lucas 
 
Kikosi cha Chelsea: Courtois 8.5; Ivanovic 7, Cahill 6, Terry 7, Luis 6 ; Matic 6.5, Mikel 5.5; Hazard 7, Fabregas 7, Willian 7 (Azpilicueta 87); Costa 6 
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Cech, Zouma, Ramires, Oscar, Remy, Drogba
Goli: Hazard 18 (pen) 
 
Kadi ya njano: Luis, Mikel 
Mwamuzi: Martin Atkinson 
Mashabiki waliohudhuria: 44,573
Nusu fainali nyingine inapigwa leo baina ya Tottenham Hospur watachuana na Shiffield United.