

Mkanda huo uliobuniwa Paris unaweza kujirekebisha wenyewe kiunoni, ukila ukashiba huna haja ya kuuweka sawa, utakaa wenyewe size sana na kiuno kilivyo, au unapokaa chini na kusimama kazi ni hiyo hiyo mtu wangu.
Huu niubunifu wa Kampuni ya Consumer Electronics Show (CES), hawajasema ni lini utaingia sokoni lini na kuuzwa bei gani.


Smartphone app itakusaidia kurekebisha size ambayo unataka mkanda huo ujifunge.





Unaweza kubonyeza play kuangalia ufanisi wake hapa.