Mapema jumapili hii BROWN alikua aki perform katika ukumbi wa San Jose Night
Club mida ya saa 1:30 AM,watu walionekana wenye furaha wakifurahia show
hiyo ya mkali wa hit song ya LOYAl ghafla ikasikika milio ya risasi kitu
kilicho msababisha mpaka BROWN mwenyewe ku panic.....
Chanzo cha vurugu hizo bado hazijajulikana,na polisi wanafanya uchunguzi.
