JAY Z NA BEYONCE WAZINGUANA, TAZAMA UGOMVI WAO WAKIWA MGAHANIHUKO LA

0203-jayz-beyonce-blue-ivy-
Rapa Jay Z na mke wake ambaye ni msanii wa rnb Beyonce wameripotiwa kuhamia mjini Los Angelos na kusitisha makazi yao mjini New York walipoishi kwa muda mrefu.

Mpaka sasa wawili hawa wanatafuta nyumba nzuri ya kuishi LA na kwamba tayari
wamemuandikisha mtoto wao wa kwanza Blue Ivy kwenye shule ya chekechea ambayo ina ada kubwa kuliko kwa mwaka. Tmz imesema ada ya shule hio ni takriban dola 15,080 ambazo ni kama milioni 24.5 za bongo.

Taarifa zingine zilizoenea kuhusu Jay na B ni kwamba hivi karibuni Bey aligombana na Jay mbele za watu kwenye mgahawa uliopo La. Hizi ni baadhi ya picha kuhusu stori hii.
Beyonce_Blackout1 2
Bey akiongea kwa hasira na Jay
beyonce-argues-with-jay-z-dinner