KATIKA PICHA ANGALIA FUJO NA ACTION KATIKA MECHI YA GUINEA VS GHANA

GHANA IMEISHINDA EQUATORIAL GUINEA NA KUTINGA FAINALI YA KOMBE LA MATAIFA AFRIKA. LAKINI MECHI HIYO ILITAWALIWA NA TAFRANI ZA KUFA MTU NA HIVI NDIYO HALI ILIVYOKUWA.