MAN PACQUIAO APANIA KUIHARIBU REKODI YA MYWEATHER

Floyd Mayweather ana kazi, maana Manny Pacquiao anaonekana kuupania mchezo wao wa Mei 2,mwaka huu.


Maana Manny amekuwa anajifua vilivyo kwao Manila, Ufilipino.
 
Ingawa watu wanaona kama ni mapema sana, lakini Manny amekuwa akifanya mazoezi kwa juhudi kubwa.


Bado haiojaonyeshwa hata maramoja Mayweather akiwa mazoezini.