MATOKEO YA YANGA NA NDANDA YAKO HAPA

.
.
Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea leo February 1, 2015 katika Uwanja wa Taifa Dar, ambapo timu ya Young Africans (Yanga) walikuwa wakipambana na Ndanda FC.
Mpaka dakika tisini zinakamilika matokeo Yanga SC na Ndanda FC wametoka bila kufungani  (0-0).
.
.
.
.
Matokeo ya michezo ya leo yanawafanya Yanga washindwe kuwafikia Azam Fc kwenye kilele cha msimamo wa ligi ya Tanzania Bara ambapo hadi sasa wana pointi 19 wakiwa wamezidiwa kwa pointi mbili na Azam wenye pointi 21 .
.
.
DSC08983
.
DSC08985
.
Picha zote ni kutoka kwenye screen ya Azam TV.