Raisi wa Zimbabwe
Robert Mugabe, 90, alianguka mpaka chini mara tu baada ya kumaliza
speech aliyokuwa akiitoa kwa wafuasi wake waliokuja kumpokea airport
baada ya safari yake kutoka Ethipia, ijumaa iliyopita.
Baada ya picha hizo kusambaa, maraia wakaanza kazi yao ya kutengeneza
memes zilizozagaa katika mitandao ya kijamii. hizi ni baadhi tu ya
picha hizo