

Rais
Prof. Jakaya Mrisho Kikwete akisisitiza jambo wakati akitoa salamu zake
kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo
kwenye viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar
es salaam.

Jaji
Mkuu wa Tanzania,Mh. Mohamed Chande Othman akitoa hotuba yake katika
kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye
viwanja vya Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es
salaam.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI


Wanahabari wakiendelea kurekodi tukio zima la Siku ya Sheria.

Mwanasheria
Mkuu wa Serikali,Jaji George Masaju akitoa hotuba yake katika kilele
cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria kilichofanyika leo kwenye viwanja vya
Mahakama vilivyopo kwenye mtaa wa Chimala,Jijini Dar es salaam.

Meza kuu.