Baada
ya Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge, kukataa kuhojiwa
mbele ya Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya viongozi wa umma juu ya
tuhuma za kunufaika na fedha zilizotoka katika akaunti ya Tegeta Escrow.
Mheshimiwa Zitto Kabwe kupitia akaunti yake ya Twitter amendika haya;
"Moja ya adhabu Chenge anaweza kupewa ni kuzuiwa kabisa kushiriki
katika uongozi wa umma. Jambo lolilopaswa kufanyika miaka mingi nyuma"