HASHEEM THABITI HAPENDI KUVAA SURUALI ZA JEANS






 Mchapo amazing..:Leo KIJUZI fashion inataka ikupe jibu kwa nini mkali Hasheem Thabit uwa hapendelei kuvaa jeans.. Sababu ya huyu jamaa bwana inavyosemekana uwa hapendelei kuvaa jeans kwa sababu jeans zote amezizidi urefu kwa sababu yeye ni mrefu zaidi ya foot 9 ndio maana hupendelea kuvaa suluali za vitambaa na pensi kwa sababu kitambaa inakuwa rahisi kukutana na fundi na akakutolea kitu aua kipimo cha saizi yako tofauti na jeans mpaka uende kiwandani na kwake sio rahisi kabisa.......PAMBAIKA


CREDIT ; PAMBAIKA