Nyingine
ambayo huenda hujaipata ni ishu ya Pharell Williams kutajwa kuwa ndiye
mwanamuziki aliyeshinda CFDA Fashion Icon Awards ambapo ushindi huo
unatokana na jinsi style yake imekuwa maarufu na kushawishi watu wengi
duniani......Pharell atapewa Tuzo hiyo June 1 2015, lakini toka jina
lake limetajwa kama mshindi mitandao imeendelea kuandika na kuuchambua
huu ushindi wa Pharell
Wapo walioandika eti kawa mshindi kwa sababu ya ile kofia ambayo anapendelea kuvaa!
Mastaa wengine waliowahi kushinda Tuzo hii ni pamoja na Rihanna na Lady Gaga.